info@ngomesaccos.co.tz

:  +255(0) 739 999 797

Machapisho

Nyumbani | Habari
Habari Mpya

Fomu za Uchaguzi Mkuu wa Chama 2024

Ndugu wajumbe/wanachama wa NGOME SACCOS Ltd, tunapenda kuwataarifa kuwa fomu za Uchaguzi Mkuu wa Chama katika nafasi mbalimbali za uongozi, zinapatika ofisini Makao Makuu ya NGOME SACCOS, Makao Makuu ya Jeshi DFHQ-Dodoma na kwenye tovuti yetu ya Chama.

Mwisho wa kurejesha fomu ni Tarehe 19 Octoba 2024 saa 10:00 Jioni, Kwa yule atakaye chukua fomu kupitia tovuti yetu arejeshe kupitia barua pepe.  info@ngomesaccos.co.tz .

 

"Pamoja na Salamu za Ushirika".

Anwani

P.O.BOX 35923 , Mwenge,Dar es Salaam, Tanzania

info@ngomesaccos.co.tz

+255(0) 222 923 862

+255(0) 739 999 797

+255(0) 739 999 797

+255(0) 222 923 861

Follow Us

Kikokotozi Cha Mikopo

Developed by: Ponsi Kihaga  


Contact:   poncekihaga@gmail.com.